Swali: Wenye kubeba ´Arshi wanabeba ´Arshi tu au wanabeba ´Arshi na walio juu yake au haijuzu kuingia kwa undani katika hilo?
Jibu: Wewe umeshaingia ndani katika hili. Iko wapi faida ya kuuliza tena? Achana na hili. Tunaamini kuwepo kwa ´Arshi, tunaamini wanaoibeba na tunaamini kuwa Allaah Amelingana juu ya ´Arshi kama ilivothibiti na wala hatuingii kwenye masuala kama haya. Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah anasema:
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
“Mwingi wa rehema amelingana juu ya ´Arshi.” (20:05)
Mwenye kufikiria kuwa ´Arshi inambeba amesema uongo. Allaah ndiye mwenye kuzuia mbingu na ardhi visianguke. Yeye ndiye mwenye kuizuia ´Arshi, mbingu na ardhi (Subhaanahu wa Ta´ala). Haina maana ya kuwa yenyewe ndio inamzuia au inambeba (Subhaanahu wa Ta´ala). Lakini hata hivyo kuingia kwa undani katika hili hakuna haja.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-30.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Wenye kubeba ´Arshi wanabeba ´Arshi tu au wanabeba ´Arshi na walio juu yake au haijuzu kuingia kwa undani katika hilo?
Jibu: Wewe umeshaingia ndani katika hili. Iko wapi faida ya kuuliza tena? Achana na hili. Tunaamini kuwepo kwa ´Arshi, tunaamini wanaoibeba na tunaamini kuwa Allaah Amelingana juu ya ´Arshi kama ilivothibiti na wala hatuingii kwenye masuala kama haya. Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah anasema:
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
“Mwingi wa rehema amelingana juu ya ´Arshi.” (20:05)
Mwenye kufikiria kuwa ´Arshi inambeba amesema uongo. Allaah ndiye mwenye kuzuia mbingu na ardhi visianguke. Yeye ndiye mwenye kuizuia ´Arshi, mbingu na ardhi (Subhaanahu wa Ta´ala). Haina maana ya kuwa yenyewe ndio inamzuia au inambeba (Subhaanahu wa Ta´ala). Lakini hata hivyo kuingia kwa undani katika hili hakuna haja.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-30.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/arshi-ni-yenye-kumbeba-allaah-%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)